Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mazoea mabaya aisee ..Watoto wa dsm bna wanaogopa baridi balaa
nisije ganda mie 😂😂
Mazoea mabaya aisee ..Watoto wa dsm bna wanaogopa baridi balaa
Natania tu Kaka Mimi Ni Simba wa nane nane Sina madhara Ni vile leo Sina usingiziUmetia sita
Ukijiandaa kutia saba kitonga[emoji848]
Unammisi yule balaa
si tushasema no babe in jf ?Sasa je😁😁🤣🤣!
[emoji38][emoji38][emoji38] kabla ya kuonana nayo inabidi uoge Mara nane ,, namkubali Sana vipi hujatia nia hapo?Hiyo ni mali bhana
Kitu ya ununio huko
Naogopa(ga) hata kuikwot
Ni kisu balaa
hakuna shidaMtego huo
Stuka
mie sio mrembo hata
libonge na mimashavu juu
ndo wataka kuiona ?
Kaa kwa mahesabuuuu usiingie mzima mzimaaaa😁😁!!si tushasema no babe in jf ?
Pigo hizo hapana[emoji38][emoji38][emoji38] kabla ya kuonana nayo inabidi uoge Mara nane ,, namkubali Sana vipi hujatia nia hapo?
Mdogo wangu ako na lipssssss matraaatraaaaa.... lipsss tramuuu balaaaa!! Hapo chombo umepataaNdio baby, weka mambo tuwalingishie
Ila kama kupeperusha ndege nakupa tuzo Sina Nia mbaya wa tosamaganga wananitosha [emoji38][emoji38]Mtego huo
Stuka
Ushua mwingi tumuachie National AnthemPigo hizo hapana
Kaa kwa mahesabuuuu usiingie mzima mzimaaaa[emoji16][emoji16]!!
Duh wewe jamaa 😂Ndio baby, weka mambo tuwalingishie
Mim yani ikifika tu tarehe yangu ya kuzaliwa hua naogopa kinoma yani hua sitamani kabisa nije nigonge 30