Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Why not ?Watoto wa mama nyie hamuwezi ishi kwa wagumu huku
natafuta maisha inabidi nipambane ,kokote kambi .
Why not ?Watoto wa mama nyie hamuwezi ishi kwa wagumu huku
Nizeeke mara ngapi!! Nishajizeekeaa mie sitakiiii hekahekaaaa!Mwache uzee umkute ndio atajua hajui
okay MkuuWalaaa, huyo ni shangazi yetu
Njoo uhesabu (gi) cement huku acha kukaakaa dasalamaWhy not ?
natafuta maisha inabidi nipambane ,kokote kambi .
Lizzy Kama Lizzy

kweli kabisa mamdo wetuHapana itakua typing error tu mie shangazi yenu!!
Haya sawaNdio sis Ndiomana naitwa shangazi au mamdo!!
Ni noma shemejiWachaa
AsanteNjoo uhesabu (gi) cement huku acha kukaakaa dasalama
Mim yani ikifika tu tarehe yangu ya kuzaliwa hua naogopa kinoma yani hua sitamani kabisa nije nigonge 30Mwache uzee umkute ndio atajua hajui
Umetia sitaNjoo uhesabu (gi) cement huku acha kukaakaa dasalama

Sijamwona kabisa yule penzi la Yolly Yolly limemlevyaa hasikii wala haoni!!
Sasa je😁😁🤣🤣!weuweeh ashakuwa babe tena 😂😂
Watoto wa dsm bna wanaogopa baridi balaaAsante
Baridi ndo kikwazo
mwili umezoea joto ,
mie sio mrembo hata[mention]Tinsley [/mention] fanya kama [mention]Lizzy [/mention] , usiku wa njozi huu
Hiyo ni mali bhanaLizzy Kama Lizzy![]()