National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
Hakukuwa na upendo . Palipo na upendo na Mungu yupo, utakunya na kufa watu wapo vile vile wanazidi kupenda, na ukivuruga ya watu ili mtu ajibanze yeye ( apandacho mtu ndicho atachovuna ) karma sio ya mchezo mchezoKuna watu wanavuruga aloo😂
Wanatafuta tu vitu vya kuwagombanisha watu.
Wanaoweza kujicontrol wabakiMapenzi ubatili mtupu, Bwana kwanza anakaribia kurudi, bora kubaki kama mtawa unamtumikia Bwana. Hupungukiwi neno kuwa single hata nawashangaa tu watu wanao angaika na mapenzi.. 🙃🙃
Nipo uchi shangazi, nikivaa badae nita tupia 😄😄Mjomba National Anthem ka selfii kusindikiza story pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Adui naye yupo kazini..Hakukuwa na upendo . Palipo na upendo na Mungu yupo, utakunya na kufa watu wapo vile vile wanazidi kupenda, na ukivuruga ya watu ili mtu ajibanze yeye ( apandacho mtu ndicho atachovuna ) karma sio ya mchezo mchezo
" Na hakuna raha kama kuwa na mpenzi ambae ni rafiki yako"Unamjua sana.
Yaani Hadi kuingia kwenye mahusiano tayari mnafahamiana..Unajua mwenzio Nini hapendi nini anapenda.
Naye anakujua vizuri..Kuna muda anaiona tone yako hata kabla hujazungumza sana.
Na hakuna raha kama kuwa na mpenzi ambaye ni rafiki yako.
Adui si hadi apewe nafasiAdui naye yupo kazini..
Na watu wasipokaa sawa anawavuruga vizuri tu.
Acha hizoo mjomba tunasubiria hapaa 🙇🙇Nipo uchi shangazi, nikivaa badae nita tupia 😄😄
You enjoy the love to the fullest 😝" Na hakuna raha kama kuwa na mpenzi ambae ni rafiki yako"
Hapa umemalizaaaaaa umeuaaaaaaa nakaziaaaa 🔨 🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨!😘😘😘😘😘😘😘❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Picha ndio inasubiri urafiki, unaonjwa kwanza ndio mnakuwa marafiki, urafiki usio na benefit haupo 🤣🤣" Na hakuna raha kama kuwa na mpenzi ambae ni rafiki yako"
Hapa umemalizaaaaaa umeuaaaaaaa nakaziaaaa 🔨 🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨!😘😘😘😘😘😘😘❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Kama hawajasimama vizuri na Mungu unadhani hapenyi😃Adui si hadi apewe nafasi
Vijana poleni sana.Kama hawajasimama vizuri na Mungu unadhani hapenyi😃
Na mahusiano yetu mengi vijana ya siku hizi yamekuwa na mienendo isiyompendeza Mungu..ni rahisi shetani kupenya.
"Unajua mwenzio Nini hapendi nini anapenda.Unamjua sana.
Yaani Hadi kuingia kwenye mahusiano tayari mnafahamiana..Unajua mwenzio Nini hapendi nini anapenda.
Naye anakujua vizuri..Kuna muda anaiona tone yako hata kabla hujazungumza sana.
Na hakuna raha kama kuwa na mpenzi ambaye ni rafiki yako.
Ndiyo maana tunasisitizwa kuwa na watu ambao kwanza ndani Wana Mungu.Vijana poleni sana.
kinachofanya adui aruhusiwe, ni wapenzi kutokuwa na maono.
Pasipo maono taifa haungamia...
kitu chochote kama hakina maono kina kufa, ogopa sana kuwa na mpenzi asie na maono na ambae hatambuliki na Mungu, nae hamtambui na ni mvivu kwa mambo ya rohoni na ya Mungu.. ukji connect nae jiandae kisaikolojia maana huyo ndio anakuwa lucifer wako😅😅😅
Hayo ndio mambo ya kileo mjomba !! Tabu kweli kweli!Picha ndio inasubiri urafiki, unaonjwa kwanza ndio mnakuwa marafiki, urafiki usio na benefit haupo 🤣🤣
Amen dear ubarikiweAtakuja saa usiyoitarajia na hautatumia nguvu Wala.
Mungu ni mwaminifu sana.
Shetani anaweza kukudanganya kukuwazisha kuwa umechelewa..au kwanini usivuruge mahusiano Yao,au anakuwazisha kwamba hutapata kwingine,heri ugombanie hapo.
Anakushawishi kwamba kuanza upya tena mbona itakuwa kazi.
Ila zote hizo huwa ni mbinu za kutulaghai..
Anajua kabisa yaliyo mbele yetu ni mazuri.
Hahah kumbehakuna kanuni, wengine walibakwa mbakaji akanogewa akatangaza ndoa.. ukiweka formula unaumia
Unalalaje bila kutubless mjomba do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!!acha tulale sasa, mashangazi wenyewe wa JF hawatutaki mabinti hawatutaki.. hata tukiomba utelezi hawatoi.. huku hapa mnasema mpo single hamueleweki 🤣🤣
Ndio maana ni vyema mkae single maana wakati ni mchache sana wa Bwana kurejea hampungukiwi jambo.. mkizidiwa sana na ashki tupo vijana tutawasaidia kuziondoa ila hatuna hela tuNdiyo maana tunasisitizwa kuwa na watu ambao kwanza ndani Wana Mungu.
Nao vijana huwa hawana Muda na Mungu,wanasubiri tu wapate mabinti wazuri kutoka Kwa Mungu😊.
Amen dear ubarikiwe
Sema jamii tunayo ishi changamoto ukiwa mwenyewe unaonekana vibaya