Bro nna wadogo zangu 2 wanaosoma Uganda,, wanarudi Tz mwezi wa12 tu,, ni wanapata taabu kweli kweli kuongea kiswahili, kama sio kiganda fluent au kiingereza basi wachanganye kiganda na kiingereza,, wakiongea kiswahili utacheka ufe
Muhongo amezaliwa hadi on his late twenties yuko bongo hawezi pata shida kuongea kiswahili na alienda kusoma tu, sio kuishi,, pata ile mtu from secondary to masters ameishi nje,,