Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Wifi yetu hayupo pembeni hapoNakupigia sasa hivi
Wifi yetu hayupo pembeni hapoNakupigia sasa hivi
Na mimi ngoja nianze kulalamika bestNaonega huruma aisee
Mtu akilalamika mie naona huruma .
AssnteeeeeeeSelfika na #voda#
Wifi yetu hayupo pembeni hapoNakupigia sasa hivi
Piga tuBasi nitakupigia kesho
Niko na mke mkubwa na yeye yuko busy anaselfikaWifi yetu hayupo pembeni hapo
Anza tu , japo wewe mtu wa wake mbili .Na mimi ngoja nianze kulalamika best
Anaweza kuweka Ivo speed Yako ya kutype ikawa kama ya KobeAssnteeeeeee
Angalau uwekage za hivi..hata wale wenye mtandao wa chini tupate.
Zile za kupaste wanapata we ye 5G![]()
Wewe huwajui wasanii🤣🤣🤣🤣Naonega huruma aisee
Mtu akilalamika mie naona huruma .
Nisikupe pressure mdogo wangu nitakupigia keshoPiga tu
Tutafanya maombi😂😂😂😂😂
Ninavyoogopa kupokea simu,hapa roho imeenda mba mba mba!
Kumbe tupo nae humuNiko na mke mkubwa na yeye yuko busy anaselfika
BoraAnaweza kuweka Ivo speed Yako ya kutype ikawa kama ya Kobe
Hiyo huruma yako inachagua kumbeAnza tu , japo wewe mtu wa wake mbili .
Sikuonei huruma kivile
Piga tuNisikupe pressure mdogo wangu nitakupigia kesho
Sasa si itakuwa kakulove mingiWewe huwajui wasanii🤣🤣🤣🤣
Mtu anaombea niachike,Si mapepo hayo😂😂😂😂😂
Eli79 ERoni anamlilia miaka yote na hajawahi kumuonea hurumaHiyo huruma yako inachagua kumbe
Ipo sema ina levelsHiyo huruma yako inachagua kumbe
Labda kama simu unyotumia Ina 3g apo tabu utaipataBora
Anayepata aipate Kwa jasho
Zile za kupaste maonezi![]()
Tuanze kwanza na ERoniSasa si itakuwa kakulove mingi
Ndo maaana naumizwa kiurahisi , napenda weh , kumbe napoteza muda