Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Wewe kabisa ukamuonea huruma Wige??Hahaha tubaki na baba Mtumishi
Nimeweka kituo kwa Baba Mtumishi..
Nampenda acha tu😂😂😂
Wewe kabisa ukamuonea huruma Wige??Hahaha tubaki na baba Mtumishi
Ndio namuonea hurumaWewe kabisa ukamuonea huruma Wige??
Nimeweka kituo kwa Baba Mtumishi..
Nampenda acha tu😂😂😂
Hivi umekosa pa kupeleka huruma?🤣🤣🤣🤣Ndio namuonea huruma
Penda hivyo mama
How lucky jamaa is ?
Mjep amekuwa mswahiliMjep nasubiria picha
Na hujanipigia
Hahaha ndio namuonea eehHivi umekosa pa kupeleka huruma?🤣🤣🤣🤣
Mimi ndio najiona luckiest person ati yeye kunipata😂😂😂😂
naramba tu midomo😅😅Burazaaaah
Jirani usimsikilize huyo.Sawa...
Ngoja aje nimnyoshe...
AtakupigiaMjep do the needful kesho
Hayo ni matumizi mabaya ya huruma🤣Hahaha ndio namuonea eeh
Wote mko lucky basi, hiyo ni true love
Nakupigia sasa hiviMjep do the needful kesho
Nakupigia mama mchungajiMjep amekuwa mswahili
Hata mimi hajanipigia
Muda mzuri wa kuselfika huu ebu tuselfikeMjep nasubiria picha
Na hujanipigia
Usiku huu shetani hachezagi mbaliNakupigia mama mchungaji
Naonega huruma aiseeHayo ni matumizi mabaya ya huruma🤣
Wige ako anasubiri niachike
Basi nitakupigia keshoUsiku huu shetani hachezagi mbali