Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kabisa na braza yupo hapa leo madam anaturingia we acha tu
Ila huko moyoni mwenyewe anafuraha kweli kumuona mzee wake hapa
Nikasema huyu Madame leo ni vipi 😁
Kumbe kwa vile alishamuona braza
 
🤣🤣🤣🤣
Kesho nisipomaliza glass 3 mniite mbwa

Juzi nimekunywa Moja napo kwa mbinde

Kumbe Baba Mtumishi ashapiga hesabu za Mbele aisee..anatayarisha nazingira.
 

Attachments

  • IMG-20221021-WA0026.jpg
    IMG-20221021-WA0026.jpg
    52.4 KB · Views: 6
  • IMG-20221021-WA0027.jpg
    IMG-20221021-WA0027.jpg
    38.5 KB · Views: 5
Back
Top Bottom