Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
WaitingNakuja chap
WaitingNakuja chap
Kumbe ndo kazi ya YoughurtAfu Yogurt nasikia inaongeza utoko utoko naona sophy27 unajiandaa Bossi kubwa Mjep ni kutelezaa tu leo... si mmeamua kujichetua hayaa twende kaziiii😁😁🤣🤣 wapi Saint Anne 🙇
Tanga raha bwana
Wew Tena nkamu gwangu Ni kusema tu wapi unataka ikufikie Kama iwambi kwa mama au nzovwe kwa sisy,,na nipo mbeyaIle mifuko yaa cement naisubiri ujue
Ndioo ndiooooooo!!😁😁Atereze kwaraha zakeeee maisha ndio hayahayaaa!!Kumbe ndo kazi ya Youghurt
Alooo ngoja nikanywe ili Baba Mtumishi aje kuteleza
Ndio maana ananisisitiza kunywa maziwa mgandoNdioo ndiooooooo!!😁😁Atereze kwaraha zakeeee
Mashariki Kusi na kasii kotee mr cement rekebisha hapo pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!

naahidi kutoa vinjwaji vyote siku ya sherehe Kama Jambo litafanikiwaNiambie iko wapi nije kuchukuaWew Tena nkamu gwangu Ni kusema tu wapi unataka ikufikie Kama iwambi kwa mama au nzovwe kwa sisy,,na nipo mbeya
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂! Sasa je hebu mpe mwenzio aenjoy hukoo!😉Ndio maana ananisisitiza kunywa maziwa mgando
Mimi siyapendii..nikinywa anafurahi.
Kumbe mwenzangu anatengeneza mtelezo siku akinikamata aserereke tu.
UsitutanieMjep Saint Anne mmedinda kunibless sio??😌😌😌
Tunasubiri selfie yako madamMjep Saint Anne mmedinda kunibless sio??😌😌😌
Kumbe ndo kazi ya Youghurt
Alooo ngoja nikanywe ili Baba Mtumishi aje kuteleza



baba mtumishi Asije akaanza kunena kwa lugha katkat ya safariAu ngoja tumwite braza amuombeTunasubiri selfie yako madam
Si Tushakubaliana hadi Kesho nikishaitengeneza kamera lakini?? Msintaniee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz nataka selfii zenyuu nirare vizuri mimiiUsitutanie
Tunataka picha ujue
Wkend poa saaana nipo mbeyaaaa kupumzikaYupi huyo hata simfahamu
Habari ya weekend
baba mtumishi Asije akaanza kunena kwa lugha katkat ya safari
Chief na wewe umeambukizwa huu upambe🤣Ni kutereza tuu shwaaaaaaaa aisee Mjep ndio mwanaume mwenye bahati Africa mashariki