Angalizo
Ana mke mzuuuri
Mpigie dakika chache
Hiyo warning hatariAngalizo
Ana mke mzuuuri
Mpigie dakika chache
Nyie semeni mnatania basii?? Kweli Mr vocha ana mke????π€π€π€π€ Saint Anne uongoooKaka mjep yupo double tayari ,
Tutakuwa tunasikiliza tu na kukaa kimya .
Tena wake wawili madamWeee kumbe Mr vocha kawowa tayari???π³π³π³
Sie tunajua uko singooo huko kuwowa sio shida zetuuu usututanieee uko singoooo mr vochaπππHiyo warning hatari
Mbona hujamalizia
Alafu mkaliii....!
Ili wasinisogelee kabisaaaπ
Ingekuwa mimi ndio Mama Mjep walah ningeteka simu yake.Kaka mjep yupo double tayari ,
Tutakuwa tunasikiliza tu na kukaa kimya .
Hakuna shidaAngalizo
Ana mke mzuuuri
Mpigie dakika chache
Na watoto wazuuuriHiyo warning hatari
Mbona hujamalizia
Alafu mkaliii....!
Ili wasinisogelee kabisaaaπ
Mdogo wangu leo hii promo uliyotoa hapa ni balaa na nusuππYawezekana ndio safari ya kuelekea dabo
Single ni hatari kwa afya..
Tuachieni dabo tumsalimie.
Amekaza sauti la usukumani utadhani maneno yanapigana vitaππππ€£
Babaa Mtumishi ajiandae , ila wivu muhimu sana kwenye mahusiano .Ingekuwa mimi ndio Mama Mjep walah ningeteka simu yake.
Ile sauti..wadada wanajichekesha woote naingilia kati.
Nyie ndio nasikia leo walai kumbe mr vocha ashawekaga hadi siredi humu??? Sijawahi onaa asee watu ni mna dataaaaa uwiiiiππππ!Na watoto wazuuuri
Ule uzi walikuwa wanampa jina mtoto nilicheka
Wasije tu kukuibukia wadangajiπππMdogo wangu leo hii promo uliyotoa hapa ni balaa na nusuππ
Mzee wa Yolly Yolly kakuachia funguoπ€£π€£π€£
Kumbe ulishaufukunyua π€£π€£π€£Na watoto wazuuuri
Ule uzi walikuwa wanampa jina mtoto nilicheka
Wivu sio poa kabisa T. Bora uwe na moyo wa ki mafia tu!Babaa Mtumishi ajiandae , ila wivu muhimu sana kwenye mahusiano .
Mimi nina wivu aiseeBabaa Mtumishi ajiandae , ila wivu muhimu sana kwenye mahusiano .
Kila muda ni stress tu .unawaza mtu anakuibia hukoWivu sio poa kabisa T. Bora uwe na moyo wa ki mafia tu!
Hakii Anne amenishinda tabiaaππ Ana taarifa shangazi enu na uzoefu wote humu hata sizijui walaiKumbe ulishaufukunyua π€£π€£π€£
Wewe ni hatarii
Nakusupport wivu ni muhimu kwa mahusiano ... Inaongeza penziMimi nina wivu aisee
Huwa sivungi.
Kwahilo anisamehe tu,, hawezi kushikilia nafsi yangu yeye pekeyake halafu nisimuonee wivu.