Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,583
- 59,671
[emoji3][emoji3]Enzi zanguKumbe jeje zilianza kitambo sana eeh!?
Tufanyie wepesi wa Sura Anko.
Hongera aiseePraise team chuo ilinipa chance ya kuimba na jamaa
Karibu mida ya usiku , tunajilpua live[emoji3][emoji3]Enzi zangu
Life was good
Ila mpaka sasa kilichoongezeka watoto tu ila safari bado nazunguka kila nikipata mda
Ila sura bado hujanishawishi lakini ntaweka siku moja nijilipue tu [emoji1]
[emoji38] [emoji23] haya weka mimi badoKaribu mida ya usiku , tunajilpua live
Nishaweka mie , karibu sana ..[emoji38] [emoji23] haya weka mimi bado
Yupo Humble mno jamaaHongera aisee
Napenda anavyosifu , jamaa anajua 🙌🏿 🙌🏿
Ndo nachompendea piaYupo Humble mno jamaa
Ngoja niitafuteNishaweka mie , karibu sana ..
Aisee anagalau tumeona selfie Yako
Leo nilikuwa mchakamchaka hatari pia tunaashida ya umeme nimesikia inaweza chukua Siku kadhaa kuingia mitandaoni sana naona kma anasa 😂😂😂maana hakuna Kwa kuchaji simu
Sio kweli dadaWeee shepu imeipururukaa mnoo nimeishaaa!
Unaweza kuta najihusanisha nae kumbe ahusiani na mimi😆😆😆😆this life aiseeee… hamna wa kukwambia utashtuka tu ahusiani na wewe tenaMimi silijui dear yaani kijana wangu mtulivu balaa na hata ningelijua sisemi 😂😂😂kwani ankowenu nae si anauhusinao lake mbona majirani hawaniambii😂😂
Lol poleni sana! Fanya uchaji kabla hawajaka kama ivo itabidi upunguze matumizi ya data na texts pia uweke power saving mode!Leo nilikuwa mchakamchaka hatari pia tunaashida ya umeme nimesikia inaweza chukua Siku kadhaa kuingia mitandaoni sana naona kma anasa 😂😂😂maana hakuna Kwa kuchaji simu
Nakaziaaaa!! Tena mwambie mida inakaribia...Karibu mida ya usiku , tunajilpua live
Black Sniper karibu sana uweke naked yako .Nakaziaaaa!! Tena mwambie mida inakaribia...
Life's unfairUnaweza kuta najihusanisha nae kumbe ahusiani na mimi😆😆😆😆this life aiseeee… hamna wa kukwambia utashtuka tu ahusiani na wewe tena
Shape ipo madamUsiku mwema wapendwa!!
Karibuni sana Kesho tukawaage Form 4 !