Selfika na JF: Snap it. Show it

Shkamoo Mkuu
Kiukweli nimefurahi leo kuona selfii yako maana wewe ni moja kati ya wadau ninaowaadmire humu jf.
Punguza crop,ongeza sura angalau tuione kwa uchache.
Marahaba
Asante kwa heshima
I didn't know that
kumbe?

Am humbled

Kwa kweli hata hivyo bado naona kuna watu wanaweza kunijua

Najua mimi ni mzee ila bado sijaachoka kuvaa jamani
But I am not ugly kuanzia hapo haha
 
Nadhani kuna sehemu nilishawahi kwambia hili Mkuu japo ni muda umepita.

Tupia Mkuu..Huku Selfika tupo wana chitchat tu tusio na madhara yoyote.
 
Nadhani kuna sehemu nilishawahi kwambia hili Mkuu japo ni muda umepita.

Tupia Mkuu..Huku Selfika tupo wana chitchat tu tusio na madhara yoyote.
Wee mjukuu wangu naona

Hebu imagine hii picha nilipiga mwaka 1979 somewhere
Unafikiri leo ukiona sura ya mzee si utashtuka sana

Ipo siku utaniona wala usihofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ