National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
single feki, single magumashi single za kuwindiaa πππππ!!
nakuvunjaa sooft yaani ile soft, taraaaaaatibuuu hadi ufurahi mwenyewe na rohooo yako, then unapigwa maji ya vugu vuguu Plus mzuke wa utulii ππNimeogopa walai nimeona kunyoshana viungo hapo nikasema ohooo shangazi naenda kuvunjwaaππ!!
Haya imekwisha hiyo kaka .Hio kaka kwioooππ!
Kaka ishendwe na iteketee
Wee kumbe [emoji16]!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!single feki, single magumashi single za kuwindiaa [emoji14][emoji14]
Mwanaume aonyeshe nia yeye , Mimi nitulie tuli.Wewe unaacha mwanaume alietulia na asie na mambo mengii usiseme sijakwambiaaaa ππ€!
Haya Dada ,ngoja tuone mambo yanaendaMiliki Bossi vocha wetu pullliiiizzzzz!! Naona wewe anakufaa sana!
mshikaki wa samaki huu πππ unibebee
Akizubaa unajiongeza mwenyewe banaa! Ila hapo kwenye kuonesha nia umechoma penyewee!![emoji8][emoji8][emoji3577]Mwanaume aonyeshe nia yeye , Mimi nitulie tuli.
Hii ni ya nundu...bado unataka?mshikaki wa samaki huu πππ unibebee
naipenda ila nikilaga sijui mafuta, nababuka kwenye ulimi , tena hapo iwe na coca cola na grandmalta, napiga mixer saafi .. uje navyoo ππHii ni ya nundu...bado unataka?
Kweli dear , sitaki baadae nianze kulia humu ππ .Akizubaa unajiongeza mwenyewe banaa! Ila hapo kwenye kuonesha nia umechoma penyewee!![emoji8][emoji8][emoji3577]
πππ shangazi tutabalance, mie mjomba wako unanimudu kabisa.. tunapiga ile kama tuna balance chemical equationKunitibua utanivuruga zaidi mjombaa!