Duh wa Jf humu nawaogopa .Mbona hupambani kunipata[emoji848]
Mimi sio matawi
Ila jero jero hazinikosi
Tupia bhas[emoji144][emoji144] Nasubiria hapaaa
Tusikatishane tamaa wew kazuri aisee,,Kama hujaolewa punga mkono juuCamera ilinipenda siku hii
Ukiniona live sasa [emoji23][emoji23] ndo utaona vyema .
Tuendelee kuogopanaDuh wa Jf humu nawaogopa .
Ngoja tusubirie wa mitaani .
Chagua nikuwekee part gani rafiki π π€ Jana ulichelewa ukakuta nishaifuta mekuja kuona asubuhi!!Tupia bhas
Mtuachiage na sieTusikatishane tamaa wew kazuri aisee,,Kama hujaolewa punga mkono juu
Wa kawaida sana , MkuuTusikatishane tamaa wew kazuri aisee,,Kama hujaolewa punga mkono juu
Ile kitu roho inapendagaChagua nikuwekee part gani rafiki [emoji6] [emoji2960] Jana ulichelewa ukakuta nishaifuta!
Weeeehhh Nani kasema???!! Uko so Biurifoooo ππWa kawaida sana , Mkuu
ππ»ββοΈ
Acha kusifia bhasiWeeeehhh Nani kasema???!! Uko so Biurifoooo [emoji8][emoji8]
Usiwaze kabisa rafiki wewe tenaaaaaa π! Dakika sifuri nikuchekie kwa gallery hapaaaIle kitu roho inapendaga
Hakuna namna
Wa masaki mizinga mingi na mirefu Kaka tuoneane hurumaMtuachiage na sie
Nyie mafogo muende masaki na ununio
π€£π€£π€£ Nimeacha nimeacha... Anything for youuu rafiki βοΈβοΈAcha kusifia bhasi
Watajaa PM
Halafu niwekwe pending
Asante Sana , najiangalia kwenye kioo na kujionea nilivyo .Weeeehhh Nani kasema???!! Uko so Biurifoooo ππ
ππ[emoji91][emoji91] tuma namba niku mpesa hio lips balaa
Niambie auntAunt ππ
Asante madamSanto sana mamy .. walau usiku Wangu Utaenda vizuri sasaππ!
Mtoto Lippppsss lippss
Yaan mcute Kweli π₯°Camera ilinipenda siku hii
Ukiniona live sasa ππ ndo utaona vyema .