Wakati hata Subway tu umegoma kunipeleka mpaka leo???? Haiwezekani π€ͺπ€ͺπ€ͺVifaa vya Ujenzi havijapanda bei Lakini hatutoboi. Ngoja niwe mkweli [emoji23], Hatujengii.
Wakati hata Subway tu umegoma kunipeleka mpaka leo???? Haiwezekani [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Tatizo umezidi uoga πΆβπ«οΈππππItabidi nikupekele aisee, Lile eneo tulivu sana, Sio kama lile eneo lako karibu na Michicha, lile eneo linatisha sana
Tatizo umezidi uoga [emoji55]β[emoji2418][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Unakuwa kama hufanyagi mazoezi bana [emoji2955]
Itapendeza sana...alafu ukipenda tuta-split bill ili ujenzi ubaki pale pale. [emoji6]
Mjep
Habari ya mida
Salama madam
Wewe vumilia tu, kwani huo umalaya wanafanya wanaume peke yao tu ??? π π πTuvumilie kutokuwa na ela tuvumilie pia na umalaya haipo iyo π
Hivi, wewe ukikosa hela huwa unakula nini ???Wote tukikosa hela tutakula Nini sasa?
HalloHello!
Unacheka tena, kwani vijana hizo hela tunazo ??? π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tufanyeje sasa?Unacheka tena, kwani vijana hizo hela tunazo ??? π
Waaah Nkamu!!Hivi, wewe ukikosa hela huwa unakula nini ???
Siku nyingine mnafunga na kuomba tu.....
Kutafuta pesa kupo, lakini ukweli mchungu ni kwamba siyo kila siku utakuwa na pesa......Tufanyeje sasa?
Mnataka tufe njaa.
Mwanaume ameumbwa kutafuta.
ππWewe vumilia tu, kwani huo umalaya wanafanya wanaume peke yao tu ??? π π π