CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Vyote ni the same thing tusivipake rangi bhana,,Kuna kuchepuka alafu Kuna umalaya kuchepuka hakuna mwanaume hachepuki na wengi wanaheshimu familia zao alafu Kuna umalaya ndo nachoongelea mwanaume Malaya
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hainaga usemejii...🤭
Tunapita nae tyu
A well disciplined woman, who can civilze a manKama kitu gani ndugu mjumbe???[emoji848][emoji848]
Hatupendi lakin ndo uhalisia Ulivyo na maranyingi yanafanyika Kwa Siri sanaVyote ni the same thing tusivipake rangi bhana,,
ladies mna underestimate kuchepuka eti eeeh[emoji23][emoji23]
😂😂😂Nimecheka
Kweli kabisaNasema uongo mdogo Wangu 🤭☺️☺️??
Ohooooooo kumbe!!A well disciplined woman, who can civilze a man
Ndioo 😋😋Na chocolate cake???
Ndiooooo!! Kwahio tofauti zao ni zipi Ndugu mjumbe?? More clarification pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!😉Kuna kuchepuka alafu Kuna umalaya kuchepuka hakuna mwanaume hachepuki na wengi wanaheshimu familia zao alafu Kuna umalaya ndo nachoongelea mwanaume Malaya
Hata mkijua si hakuna noma?? Sasa mimi najua kabisa hata wife akinifuma as long nnafnya kiustaarabu hana tatizo with thatHatupendi lakin ndo uhalisia Ulivyo na maranyingi yanafanyika Kwa Siri sana
Tupo tusio chepuka na tusio malaya, kama ilivyo kwa wanawake wasio chepuka wala sio malayaKuna kuchepuka alafu Kuna umalaya kuchepuka hakuna mwanaume hachepuki na wengi wanaheshimu familia zao alafu Kuna umalaya ndo nachoongelea mwanaume Malaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tena inch 54Labda uwe na tv ndani [emoji23][emoji23][emoji23]
Antonnia
Habari za weekend mjomba??✋Tupo tusio chepuka na tusio malaya, kama ilivyo kwa wanawake wasio chepuka wala sio malaya
Weekend nipo tanya Pm Shangai uje onetime ume niblock nikupe zawadiHabari za weekend mjomba??✋
Dawa ni hiyo tuSio akupende tu mjumbe ... akupende Kweri kweri tenaaaa kama hauna maajabu yoyote hapo utaishia tu kusema nhiiiiiiiiiiiiiiiiiii ☺️☺️☺️..
Nimekazia tu Wajumbe naendelea kunukuu ✍️
Thawaathawaaaa mjomba!!Weekend nipo tanya Pm Shangai uje onetime ume niblock nikupe zawadi
Na hata nispojua ndo utaacha ama??Hata mkijua si hakuna noma?? Sasa mimi najua kabisa hata wife akinifuma as long nnafnya kiustaarabu hana tatizo with that
Basi naendelea kucheat sababu hakuna negative consequences zozote