Tunarudi mwanzo, ukiwa na life partner au mwenza wa kudumu rahisi sana ku save na kwenda mbele kimaisha, ingawa sio constant inaweza change. Kale ka msemo kanasema mwanaume anaefanikiwa nyuma kuna mwanamke strong na mwenye akili kana sound.
Sema nini, haya maisha sasa hivi tuna deal nayo kwenye level ya familia (jenga msingi imara wa kifamilia), msingi ya kitaifa ni mibovu na sio rafiki. Ni kama kila mtu ajenge ufalme wake, ndipo kama Hawa MA tycoon wetu bila Hivyo itabaki kuona tu