Mimi nabaki na list yangu 1, 2. 3. 4. tu. Nimegundua naweza changanya hii list vizuri ikareplace vitu kibao kama Music, movie na football πNa pesa ni jawabu la Mambo yote.
Sasa nitaje fupifupi mia Tano Tano na buku ambazo nimezizoea?
Chakula
Hela
Mpira
Muziki
Nikiangalia na Mama Kimbo π
Nimemaliza
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Umeona eh, hapo hata kama kikinuka mi naweza jidai hilo shamba la mchicha ni langu na nipo kazini kumwagilia π π π
Sidhani kama litayang'oa hili na lile pale juu kileleni.Asanteeee βΊοΈβΊοΈβΊοΈ
Ila hizo namba subiri kwanza uone la kesho na kesho kutwa π
Ndio, napiga zangu Business. Mambo yatakua safi kabisa. ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Au umekuja kuchukua mboga za jumla ππ
Mimi hata nikiwa na 2 na 3 tu napo ni sawa.Mimi nabaki na list yangu 1, 2. 3. 4. tu. Nimegundua naweza changanya hii list vizuri ikareplace vitu kibao kama Music, movie na football π
TuoneNakwambia!! Tumbo limejaa balaa hapaaπ
MkemiaTunakula kinachopatikana balance diet utajua mwenyewee!! Hapa unachota chakula na sahani yakoo hakuna kurembaπ!
Baba Yolly Imekosekana free intanet tu
Karibuni tuuone mchana
Litakutosha sasa....??πSidhani kama litayang'oa hili na lile pale juu kileleni.
Tukionana jua napita nalo MojaππΎββοΈ
Basi ukifika niambie πNdio, napiga zangu Business. Mambo yatakua safi kabisa. πππ
Na wali ndondooo!! Ilikua nomaa sanaaπ! Tumbo limejaaje hapaπ€£!Mkemia
Uone nini ?? Tumbo au??π€π€Tuone
Angalia usitengeneze bomu ππNa wali ndondooo!! Ilikua nomaa sanaaπ! Tumbo limejaaje hapaπ€£!
Hela , chakula , na nyimbo ni muhimu sana kwangu .Mimi hata nikiwa na 2 na 3 tu napo ni sawa.
Hela na chakula.
Wee acha tu!! Sema nina magnesium hapaπ!Angalia usitengeneze bomu ππ
Ndio zile mnasimamia la 7?Ishatumika kwenye Majukumuu siku ile ileee! Yani nilienda kusimamia kama kulipa deni ππ! Hebu nikatandike failures kwanza
Naomba Mnihifadhie vodaaa pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!!
πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ!!