Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Wabheja sana kutubles airtime mr Vocha!!Selfika na #voda#
*104*772387257641765#
Wabheja sana kutubles airtime mr Vocha!!Selfika na #voda#
*104*772387257641765#
Amen Sisy.Amenn Amen!! In mr Vocha' s voice 😁!!
Vizuri tu mr Vocha!! Kwani nasema uongo??😉😜??Anatafunika?????...🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Wow 👏
Boss lady nitafutie meno huko nikamtafune mrembo Tinsley 🙊Vizuri tu mr Vocha!! Kwani nasema uongo??😉😜??
Hata sielewi na yeye kapotea?Kimya sana mkuu!! Halafu wewe uligoma mazima sio?? Vibaya hivoo!!
Nafurahi kukuona tena selfika mkuuu ✌️!
Hivi cocastic unamuona huko kwenu??🤔🤔
Kama roketi😁Watu wapo faster
Hata sielewi na yeye kapotea?
Ana almost 3 weeks kimyaaaaHata sielewi na yeye kapotea?
Ntamwambia mami😘😘😘😘Ana almost 3 weeks kimyaaaa
Nimemmisi mpaka naumwa Hakyanani tena ukimuona mwambie selfika tumemmiso mnooo!
Dah! We kaza ubongo tu. 😄Kwani bei ya vifaa vya ujenzi imepanda tena???😳😳😳
Fanya hivo!! Hauna ka selfii hapo uniblessipo nipoze hii njaa hapa?? 🤔🤔Ntamwambia mami😘😘😘😘
Usijari nitakusaprise mamiiFanya hivo!! Hauna ka selfii hapo uniblessipo nipoze hii njaa hapa?? 🤔🤔
Dunia imejaa Maziwa na Asali Anko. Unaweza jikuta unamwaga Pension yote hapo.😁😁😁😁 Kikubwa kujisitiri hata kwenye mapagara walio jenga mababuu
😔😔😔😔😔 jamani!!Usijari nitakusaprise mamii
😘😘😘😘😔😔😔😔😔 jamani!!
Haya ngoja nisubirie hio sapraiz
Hapa nikapashe kiporo changu kwanza nyumbani sasa!! 🚶🏼♀️😚😚Hujanibless selfii njaa nayo inakomaaa basi tabu tupuu😁😁😁!!!!😘😘😘😘
Futa viwili tu katika maisha yako☟
1. Alcohol,
2. Food,
3. Money,
4. Sex,
5. Football,
6. Music,movies
Goodmorning Team..
Yolly yolly![]()

Kesho unapumzika mamii usijali I u 😘😘Hapa nikapashe kiporo changu kwanza nyumbani sasa!! 🚶🏼♀️😚😚Hujanibless selfii njaa nayo inakomaaa basi tabu tupuu😁😁😁!!!!
See you later guys enjoy your time!!✌️
Antonnia