Sometime Huwa Najiuliza Maswali Halafu Nabaki Namshukuru Mungu
Imagine Nina Kazi Napata Angalau Pesa Kidogo.
Pamoja Na Kua Nina Kazi Na Pesa Bado Kuna Mahitaji Nashindwa Ku Afford,Vipi Kuhusu Wale Watu Ambao Wanaamka Asubuhi Hawana Kazi Na Hawajui Wapi Waende Na Wanaishi!!
Mshukuru Mungu kwa kidogo ulichonacho huku ukiendelea kupambana.