feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,774
Hawa nao huwa wanakunjwa kama samaki
Mkuu unamaana gani
Hawa nao huwa wanakunjwa kama samaki
Mefurahi mimi jamaniUnacheka nini shemeji
Kumbe uko Moshi?!Huko dar ? Mkuu huku moshi nimezunguka maduka karibu yote ya mjini,ukitaka jeans kali ni kuanzia elfu 20
Hata tshirt bei sana
Ndio sakayo,Kumbe uko Moshi?!
MkuuMkuu unamaana gani
Nataka siku nikienda dar nichukue za kutosha, maana huku ni hasara tuNi kweli mkuu, Moshi nguo ni bei kubwa kidogo.
Asante sana jamani...Ndio sakayo,
Karibu sanaaa
Yeah siku itakusaidia sana kuokoa vijisenti.Nataka siku nikienda dar nichukue za kutosha, maana huku ni hasara tu
Mkuu
namaanisha kukunjwa mguu kama hivyo ilivyo kwenye pic uliyo post.
Mh!Asante sana jamani...
Huwa nakatizaga sana mitaa hiyoo nikielekea Tarakea Mkuu
nimeota usiku umepost uno hapa uzini
Ukimaliza kucheki weka yako hii sifuti View attachment 1258469
Tarakea si kuna national park huko ?au game reserve ?Asante sana jamani...
Huwa nakatizaga sana mitaa hiyoo nikielekea Tarakea Mkuu
Vipi shem jamani
Napita mpakani kule kuelekea kwa majirani zetuTarakea si kuna national park huko ?au game reserve ?
Mb zimeniishia![]()
Yes best leo sijafuta fatilia comments utaona.Ulituma tena picha??
Ipi hiyo mkuuSawa nilijua unamaana tofauti