Hatapata mwingine kama wewe shem. Kosa kubwa sana.
Kuna wanawake ukiachana nao hutakaa uwasahau kamwe hasa ukija kugundua kuwa pengine ndo walikuwa wanakupenda kikweli na walivumilia sana madhaifu yako lakini wakati ule hukujali uwepo wao. Ukitoka hapo na kwenda huko duniani na kula za uso kila unakokwenda lazima tu utawakumbuka! Inauma sana halafu sasa wao wameshamove on! Mtu unabakia tu kuteseka yaani!