Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,551
- 235,319
Ningeshangaa nikosee hiyo mitaa.Naam opposite to st Francis's girls
Kumbe wewe mwenyeji saana
Naogopa eehPole nenda Kwa sonara akutoboe au unaogopa
Ofisi ipo wapi rafikiAlaf na mimi ni sonara mzuri aunt ebu nipigie debe nipate hiyo kazi
Sis lizzy naiomba [emoji120][emoji120]
PoleNaogopa eeh
Siku nilijaribu hadi nikakimbia
Nilitaka kutoga June mwaka huu Ila nikaumia sikio nikatulia kwanza
Asante aisee sitaki kupania tenaPole
πanakujaMwambie anielekeze ofisi iko wapi βΊοΈ
Waliwahi?![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Asubuhi nimewachimba biti.
Wakichelewa tena basi watakuwa wameshindikana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ukipata ya kupunguza nishitue mkuu
Mtoni mtongani ukifika kituo cha basi nipigieπOfisi ipo wapi rafiki
Tena mwambie awahi nimchongee vzr πSonara kama sonara πkazi umepata aunt
Tinsley njoo sonara huyu hapa
Ooh kumbe hapoMtoni mtongani ukifika kituo cha basi nipigieπ
Aisee..Mimi ni Mama
π€£Unanyoa?π₯Ί
SawasawaNiungisheni wana SELFIKA[emoji23]View attachment 2383720
Hutoi taarifa, unaondoka tu πππ