Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
😁😁 Ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hapo natoa mang'ombeee
HangoverDuh! Umeamkia wapi mzee
😊😊😊😊 Twaenda na boat gani, niweke hapa booking kabisaTwende nakusubiri 😉
😂😂😂Ebu tuona zinavyokutoa
Anae bhana majeans kama yoteShemeji wa kuchora na penseli😃😃
Dada mzuri hallo ☺️☺️
Kichwa chako
Njoo inboxShikamoo kaka angu mzuri mzuri![]()
🤣🤣🤣Kichwa chako
NakujaNjoo inbox
hahahahahahaAntonnia anataka mzee kama wewe
Uko vizuri
Hahaa umemisika
Santee mamaa wa mapishi yake😋Uko vizuri
Mnavyojisifia sasa na ka kijiji kenuKwa kweli ni pachafu
Pana vuuumbi..tangu nimefika naumwa tu mafua,Siyo kwa vumbi hili walaq







Umependeza mno.....lkn hicho kialama kweny mkono kama vile uliungua na miez ninacho eneo hilo hilo mkono wa kushoto