Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂Dah mm nilikuwa namtaka bachelor sugu Sasa itakuwaje😂
Mad Max
 
Nataka nijiweke nitulie mi nishachoka kutanga tanga kabisa. Yaani hutokaa kuniona jukwaa la Love Connect.
 
Hahahaha dah ngoja niusuke uzi mpya. Nauweka saa 7 usiku. Ukicomment tu naomba Mods waufute.
🤣🤣🤣Uzi uwe mfupi yaani nisichelewe kusoma watu wakawahi 🤣🤣🤣
Uzi wanini mnaprolong mambooo yatakua mengi !! Vimeshaumana just get a room for the talk pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Msiniangusheee🤭😁!!
 
😂😂😂😂Dah mm nilikuwa namtaka bachelor sugu Sasa itakuwaje😂
Mad Max
Bachelor sugu wapo wengiii kuna National Anthem mzabzab nae anatafuta wa kuzaa nae hukooo sijui washampatia mwongozo anajua mwenyewe!! Mad Max anakufaa kwakua you will start afresh woteee!! Hao wengine sijajuaaa ila nasikia bossi kubwa Africa Asia na Ulaya zake yupo vyediii sana mi nimesikia tyu sijajua ukweli wakee!! Au fanya hima ukashuhudie mwenyewee mdogo wangu!!
 
Nyie mbona mnanisingizia. Mwenzenu nina mke na mtoto kabisa mnasema eti bachela🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂Natumaini jioni ya Leo anatakiwa kufanya muamala Kwa madam
Mad Max sio Kwa cv hii iliyoshiba uliyoandaliwa 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…