Miss you more dadake๐๐๐!๐๐๐Nilikumiss mno
Weee sijaona kipenzi Naomba urudie jamani sijakuona kitambo dadaa!! ๐Nimepita full dada Leo haupo na kukuita nimekuita jmn
[emoji28]tumesusana jamaniUmenisusa hadi sio poa vale!! Ntakutafuta kule sikupatii kabisa mamaa!![emoji8]
Pole sanaNakwambia Nilikua msimamizi mkuu sasa Shule ilikua na mikondo 8 uwiii!! A hadi H huko unazunguka kama piaa hakuna kupumzika hadi muda unaisha! Miundombinu ya shule sasa madarasa yamekaa mbalimbalii afu kuna vi miinuko inuko jamaniii Nilikoma mbona sina hamuu๐๐
๐๐๐Yaan nimecheka balaa iyo mpododo umenikumbusha kwetu aisee mguu tu huko madam na poz limenisapotMamaa madikodiko Umenougaaa hataree sana ๐๐๐!!
Mpododo kama woteeeee ! Mad Max ,๐๐! Usiniangushe pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!๐
Weweeeeeh according to mwanahabari na msemaji mkuu wa watu na wachumba wao selfika baba Yolly Yolly ameshakukabidhi rasmi mr vouuchaaaa na saii anainjoy madikodikoo yakooo!! ๐๐!! Saii ni wewe na mzungu Wetu selfika Binti murembo cheupe dawa akee Alayna!๐๐Dah Mjep si wako wew na Alayna
All is well umemaliza salama. Pole na hongera sana madame. ๐คNakwambia Nilikua msimamizi mkuu sasa Shule ilikua na mikondo 8 uwiii!! A hadi H huko unazunguka kama piaa hakuna kupumzika hadi muda unaisha! Miundombinu ya shule sasa madarasa yamekaa mbalimbalii afu kuna vi miinuko inuko jamaniii Nilikoma mbona sina hamuu๐๐
Wabheja sana!! โ๏ธโ๏ธAll is well umemaliza salama. Pole na hongera sana madame. ๐ค
Kila la kheri mdogo Wanguuu!! Feedback mapema yote hii zanini uache mapepeee,, tulia kwanzaaaa uusome mchezo nenda nae adoo adoo hadi aelewekeee!! Ukileta feedback utawangiwa bureee tena mchana kweupeeee wanga tumejaa telee usiseme sijakwambiaaaa!! ๐คญ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ๐๐ผโโ๏ธ!!Nipo napambana PM feedback zitakuja leo ๐๐๐
Mwee ndio kwanza nimelala ,Junia ananipepea tu tumbo languSaint Anne bado nasubiria selfii yako mdogo Wangu!!
Watu mna siri nyie!!Niko POA,she is well and good Mungu mwema
Mmewamis [emoji182][emoji2956]
Neema Gospel nawaelewa tangu zamani enzi za akina Kanumba.Amen Sis
tupo huru kweli kweli
Uone tembo Cement?Uongoooo!! Hebu tuonee usintanieeee!!๐๐๐!!
Ndio ila utaweka badae saivi naweka Simu chaji nikatengeneze kitafunwa kesho asubuhi!!Uone tembo Cement?
AfadhaliNdio ila utaweka badae saivi naweka Simu chaji nikatengeneze kitafunwa kesho asubuhi!!