Sijui amepotelea wapi,Nimemtag asubuhi ila hajatokea.
Nkamu,Jana nilipita kwenye uzi wakowa kurudisha message ..nikataka nikuulize kama ulifanikiwa kurejesha messages zilizofutwa.
Ila bado sijajaribu ile njia alitoa mdau mmoja..nasubiri nipate PC hapa.