Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Ngoja ninyamazeWalimwengu wananambia nina macho ya uchovyu au usingizi![]()
Ngoja ninyamazeWalimwengu wananambia nina macho ya uchovyu au usingizi![]()
nzuri vipi wewe kaka
mdada hujambooonzuri vipi wewe kaka
X wa nn Tena wakati kikao chetu Cha mwisho tuliazimia kuwaita Xs wote mbwa 🥳Poker Antonnia cocastic Beesmom mzabzab Saint Anne Carrasco putin Wigelekelo National Anthem myoyambendi Lizzy Depal Kelsea APEFACE Equation x Hziyech22
Nawasalimu kwa jina la Bwana😊
Jamani huku kwetu sa hv kila siku umeme unakata Tanesco wanategeshea ule muda nmefika nyumbani ndo wanakata najiuliza sijui x wangu ndo ameanza kunikomesha maan ni haka kamtaa kangu peke ake😍😍 miss y'll😘😘😘😘
Mbeya Kuna baridi Ila mafinga ni kibokoHata kugeuka sitamani
Bado tunashuka hadi 12..Nianze kutafuta blanket jingine.
sijambo , habari ya leo ?mdada hujambooo
Huyo huyo x mbwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣X wa nn Tena wakati kikao chetu Cha mwisho tuliazimia kuwaita Xs wote mbwa 🥳
Jirani umeamkajeAsubuhi njema wadau..
salama kbssijambo , habari ya leo ?
hahahahahaha,duhX wa nn Tena wakati kikao chetu Cha mwisho tuliazimia kuwaita Xs wote mbwa 🥳
Salama jirasi sijui kwako..Jirani umeamkaje
Huku kwema jirani.Salama jirasi sijui kwako..
Asante jirani, nakuja..Huku kwema jirani.
Karibu chai na magimbi