Wanaume mmekua matapeli sana wa mapenzi sikuhizi, hamuaminiki kirahisiKwani na wewe kweni ni kule marangu mtoni? Maana hutaki mchezo unataka na funguo ushike kabisaπ€£π€£π€£π€£π€£
Shikamoo ValentinaNimeona nyama
Sina hata vocha leoUmepata vocha uni call baadae
SenkyuuuuSelfika na #voda#
Funguo nimeshatoaWanaume mmekua matapeli sana wa mapenzi sikuhizi, hamuaminiki kirahisi
We nipee tu funguo leo leo ndio nikuamini
Haya nitumie nauli nijeπFunguo nimeshatoa
Wewe njoo tu uwe yolly yolly na mimi nifaidi kama braza putin anavyofaidi π
Selfika na #tigo#Sina hata vocha leo
Nimefuliaje π£
Hapa nitafika nikiwa na manundu wallahππHaya nitumie nauli nijeπ
Usisahau na ya kutolea + tozo
Hata sijui lini nitabahatika na hizi offer zako zinanipitaga[emoji28]Selfika na #voda#
Sasa unaingia kanda maalum, be strongHapa nitafika nikiwa na manundu wallahππ
ImeshatumikaSelfika na #tigo#
ππππ KweliWe siulikataa brunch???π
Nilikula iliyobaki nikawapa π¦π¦π
Yeahhh πππππ Kweli
PoleeHata sijui lini nitabahatika na hizi offer zako zinanipitaga[emoji28]
Haki bado sijala ...π€£Maharagee
Hujala?
Hizi tozo zitaniua kabisa wallahSasa unaingia kanda maalum, be strong
Tuma bana, moyo wangu umeshakukubali sasa ukizingua you will break my heart ujue