Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Mimiiiiii
Tena nina shida ya washing mashine
Mimiiiiii
Kwakweli tozo ni habari nyingine mwambie msanii wetu avumilie tu😂😂soon tunahamia BurundiTozo zina mnyoosha 😀😀
😂😂😂Mimiiiiii
Tena nina shida ya washing mashine
Muazime wifi ako sophy27Mimiiiiii
Tena nina shida ya washing mashine
Waalaykum salaam Jirani. hujambo?Hello Jirani
Assalam Aleykum myoyambendi
Niko bukheri, hofu kwako jiraniWaalaykum salaam Jirani. hujambo?
Utakula wee mimi nitasubiri ubakishe😍Am coming ,mbona yakwako tuu uchoyo bhan😄😄
Jirani, uhali ganiWaalaykum salaam Jirani. hujambo?
Ulikuwa wapi kusalimia? Acha kudandia salamu za watuJirani, uhali gani
Polee!! Sasa mbona hukuniambia kama hupendi???😔😔Umewahi, unanigombeza sana 😒😒
Exactly una roho muzur mpishiUtakula wee mimi nitasubiri ubakishe😍
Juta tu ila usijiueNajuuuta😂😂
Haya unataka ushauri wa nini
NiacheeeeeeUlikuwa wapi kusalimia? Acha kudandia salamu za watu
Ye ndo mtozaji mwenyewe....🤔🤔Au sioo bhas tozo znamchangany