Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hbr Njema,

Jumapili naenda kanisani, maana nimeambiwa "basi twende wote" nikakosa jinsi. 🤠

Haijalishi naenda kwa staili gani, natumai Mungu kaandaa jambo jema kwa ajili ya maisha yangu.

Naporomoshewa wapenda kanisa tu nawadeiz..
Hongera Mkuu,
Kwenda Kanisani ni hatua na mwanzo mzuri...Mungu azidi kuachilia hiyo neema.
 
Trouble in paradise. Mgeni huyu Īan leo kaja na nguvu kweli kweli. Giza totoro, upepo wa kutikisa nyumba na mvua za kutisha mbengo zimefongoka utafikiri wakati wa Nuhu. Yote kwa yote Mungu Ametusimamia na kila kitu kitakuwa salama
Screenshot_20220928-190932_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom