National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Uje na mambo yangu yale niyapendayo 😁😁🤣🤣🤣
Saa ngapi niibuke hapo
Uje na mambo yangu yale niyapendayo 😁😁🤣🤣🤣
Saa ngapi niibuke hapo
Niko nayo hapa, nisubiriiiiUje na mambo yangu yale niyapendayo 😁😁
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Sasa nalala.. Penzi langu jipya linaenda vizuri... 4hrs of talking tumeshapanga mipango ya ndoa hadi majina ya wanetu..
View attachment 2371125
OMYNaonja ili nimekubakizia kidogo 😁😁View attachment 2371639
Si umeniacha peke yangu 😏😏
Sasa nalala.. Penzi langu jipya linaenda vizuri... 4hrs of talking tumeshapanga mipango ya ndoa hadi majina ya wanetu..
View attachment 2371125
Kwahyo single unamuacha Poker na National Anthem 😂😂😂😂😂Sasa nalala.. Penzi langu jipya linaenda vizuri... 4hrs of talking tumeshapanga mipango ya ndoa hadi majina ya wanetu..
View attachment 2371125
🤣🤣🤣 Huu mwaka wanaumaliza Singo Singeli
msalimie pia yolly yollyNimerud nyumbani salama yolly yolly[emoji7][emoji7][emoji7] anawasalimia
Ujambo ww mrembomsalimie pia yolly yolly
nipo poa vipi wewe ?Ujambo ww mrembo
Niko poa sana nanenepa gafla tunipo poa vipi wewe ?
eeh hongeraNiko poa sana nanenepa gafla tu
Nitakushangaza nitanenepa balaa subiri uone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh hongera
yolly si wa mchezo , ni anakupikia mapocho pocho au penzi lake wewe huyo unanenepa ?