Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa nalala.. Penzi langu jipya linaenda vizuri... 4hrs of talking tumeshapanga mipango ya ndoa hadi majina ya wanetu..

Screenshot_20220929-033223.png
 
Poleni Shem!MUNGU awapitishe salama ktk hili
Asante shem. Tumetoka kwenye category 4 mpaka 2 maana kipo nchi kavu sasa hakichoti mvuke majini ila mbengo bado zimefongoka maji yanamwagika. Leo silali nisije nikasombwa na maji aisee japo naona Mungu Amesaidia.

Kakoku kanaendeleaje? Na nyie wazazi je?

20220928_213756.jpg
 
View attachment 2371158
Poleni sana

Welagha/wilagha siza koi

Ga ian ghenaga makoye
 
Poleni sana

Welagha/wilagha siza koi

Ga ian ghenaga makoye
Nalīmhola bageshi. Līnshūlūlū litale lyabītaga lelwahenaha. Mbula nhale na līnyaga nkoi īnumba yalūdetemaga gete mpaga nūhaya gīkī īlelo nagūchīla kūnū gūbazungu. Alīyo ŪSeba Odūgunana nkoyi.

Gīnehūbebe ūlīmhola?
 
Mhola ghete

Nhamisejagha kono Ndola

Lelo yeneye naligaluka mu tunduma

Mpaga ngw'ani
 
Trouble in paradise. Mgeni huyu Ian leo kaja na nguvu kweli kweli. Giza totoro, upepo wa kutikisa nyumba na mvua za kutisha mbengo zimefongoka utafikiri wakati wa Nuhu. Yote kwa yote Mungu Ametusimamia na kila kitu kitakuwa salama
View attachment 2371122
Huyu Mgeni ni “ian” “Lan”?

Majina haya🤦🏾‍♂️
 
Asante shem. Tumetoka kwenye category 4 mpaka 2 maana kipo nchi kavu sasa hakichoti mvuke majini ila mbengo bado zimefongoka maji yanamwagika. Leo silali nisije nikasombwa na maji aisee japo naona Mungu Amesaidia.

Kakoku kanaendeleaje? Na nyie wazazi je?

View attachment 2371158
poleni sana
Mungu azidi kuwapigania
 
Back
Top Bottom