Kama vya babu yangu,sema vyenyewe vina rangi fulani hivi.
Rangi fulani hivi[emoji3061][emoji3][emoji3][emoji3]
mkuuRangi fulani hivi[emoji3061]
Hi kaka angu mzuri......uko poa leoNiambie dada yangu mzuri π
Nishakupitisha ccy kaka angu anakufaa kabisaSis akee mr Vocha mie Simuweziiii!!ππππππππ!!!! Nasubiria mdhunguu au kakakoo usintanieeee sis!!
Ashakuja
Nipo vizuri kabisaa dada mzuri ππ tunaendelea kukabiliana na tozo tu..Hi kaka angu mzuri......uko poa leo
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee πππππ! ππNishakupitisha ccy kaka angu anakufaa kabisa
ππππIiiigggweeeeeeeeeeeeeeee πππππ! ππ
Nipo vizuri kabisaa dada mzuri ππ tunaendelea kukabiliana na tozo tu..
Hujaniaga Lizzy ππ nakufata
Kuna mtoto humu akinikubalia nitaweka order maana nitamjengea kibanda cha ghorofa mbili ππKazi tu # hardware lifeView attachment 2370579
Mkuu wa shule ya msingi.....Mkuu wa nini??
Malizia sentensi
Hahaha sawa Kaka mtoto yupi huyo nikusaidie kupiga debe mniungishe cement,,na Mimi nitafutie kabinti humu kakukahonga cement na nondoKuna mtoto humu akinikubalia nitaweka order maana nitamjengea kibanda cha ghorofa mbili [emoji1][emoji1]