Selfika na JF: Snap it. Show it

Usinisahau sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeitwa na yolly yolly [emoji7] akaninyweshe supu ya kuku [emoji7][emoji7][emoji7]
Ukiwa single ukila kuku unaona kama kuku wanakuzomea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uongezeke kamwili nawewe mwanaume umekaukiaaaaaaa!! Sijui hata kama unaweza kumpakata huyo Yolly Yolly mmmxxiieww!
 
Hahaha............kuja huku ni muhimu sana Mjukuu, kwani hutaki kuwasalimia wale watoto wenzako mliokuwa pamoja wakina Bhoke? Kuna siku walikuja hapa nyumbani kukuulizia🤪🏃🏃🏃
Hapana babuu huko napaogopaaa!! Bhoke Awamu hii akuje mjini nayeye!! Msalimie sana bibii jamanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…