Nami nampenda.Huyo mtoto kwenye Avatar yako nimempenda
Auntie ndio metoka.Morning auntie
Tujiandae na jumuiya
Mkuu upo sudan au??hahaha
Kwaiyo unanitabiria hii kazi mama ake
View attachment 1258187
Tatizo umri umekwenda
Siwezi Ingia; viungo haviwezi mikiki mikiki tena.
Mvua hii leo...! Inabidi jumuia niifanyie kwangu tuu na familiaMkitoka jumuiya msisahau kujifotoa jamani!!
Wenu katika ujenzi wa uzi,
Sakayo!
Mkitoka jumuiya msisahau kujifotoa jamani!!
Wenu katika ujenzi wa uzi,
Sakayo!




Pole saaana....! Bwana mserbiaLeo naumwa sana Wakuu,dua zenu.
Good morning shemdarlinUsiku mwema.
Ukipiga simu kwa wife ukimueleza tatizo anakwambia upo kwa mchepuko....Bora punda afe...View attachment 1258045
Somo la leo....!Auntie ndio metoka.
View attachment 1257974Mshana tukutane hukoo
Nipo Kenya kwa mudaView attachment 1258007
Bora punda afe...View attachment 1258045
Shunie knifeMjeda weeh![]()