Good......hakika
Sakayo baada ya kuniacha na kunikimbia.
Kupungiza maumivu ili bidi nikimbie nchi.
View attachment 1258235
Zenji ee
Ubusy jirani ila nipo apa
Umedanganya[emoji23]Auntie ndio metoka.
We kila mtu baka baka😂😂Salama kabisaa mjeda
Huko chukua sita kwa sita moja usichukue double
Nimefulia halafu nataka kwenda bar.....
Maandalizi[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]View attachment 1258248
Hahahaaa wakizingua nawateka....tac knife inahusika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kubwa sana hiyo.. Kaagize jibapa na maji lita moja
Kidogo tu cha asubuhi
Lemonade + the stuff's View attachment 1258254
nimemtenda mtu na mtuwe
Umetendwa?
i know you not the one you were referring to earlierYes, Karma the payback and not Karma the me.
nimeota usiku umepost uno hapa uzini[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]natania mimi, uwiii naachika huku.
Babakehahaha
Kwaiyo unanitabiria hii kazi mama ake
Tatizo umri umekwenda
Siwezi Ingia; viungo haviwezi mikiki mikiki tena.