Pole
Lovelovie .. Kwenye maisha sio kila mtu yupo kutusaidia, anaweza akawa ndugu wa toka nitoke, ila moyo ukawa mzito kabisa. Ila unaweza kutana na walio kusudiwa na Mungu kukusaidia, mioyo yao ni myepesi kabisa kwako. Wasamehe wapende huwenda hawakuwa wamekusudia kuwa msaada kwako.