National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Matunda tutaenda chuma shambani wenyeweee, uwahi mapema tuanze kusaka watoto wa kukuita mama na mie baba 🙂🙂Ndio my wangu ngoja bas nimalize kupack hapa nije hapo chap nsichelewe
Nije na matunda ya kula usiku au ushanunua😁
That shit is unexplainable 😛😄😄😄 Watukutu hao, ebu nipe ka experience kako mala ya kwanza kufatwa uvinza ulijisikiaje
Aiiiiiiii sema lingine my wanguMatunda tutaenda chuma shambani wenyeweee, uwahi mapema tuanze kusaka watoto wa kukuita mama na mie baba 🙂🙂
😄😄 Ebu kidogo tu elezea hata kujujuuu, unajisikiake ka ulimi kakianza ku flow pale kati eeh maelezo kidogo tuuu ili kuokoa vijana wa hovyoThat shit is unexplainable 😛
😄😄 Nimebeba korosho, karanga, mihogo, asali debe zima vya kuanzia maishaAiiiiiiii sema lingine my wangu
Usisahau kubeba asali🤭
hahahahaha,uko wapi nije fastaPoa.
Njoo tupige vyombo 😊
hahahaha,unajibania mnaogopa , sitaki kulia
Sema suuuSi una picha zangu nyingi, niselfishe me niko busy 😂
Hawa samaki wa dar mnapigwaa 😄😄 samaki kama dagaaKinavutia sana, napenda sana nyanya chungu bamia na biringanya.
Sasa mimi inabidi nianze hivi. Halafu utanishauri nipike style gani. Si ndiyo?
Acha niwakate kwanza.View attachment 2369614
Si una picha zangu nyingi, niselfishe me niko busy 😂
Naunga mkono hojaVoda 3
Tigo 2
Wakondyaaa wakwetu 😂😂👌
Mtoto anataka farajahahahaha,unajibania m
Hoja gani 🤣🤣🤣Naunga mkono hoja
Hushindwi kuleta dp yangu hapa 😂😂Sema suuu
Vocha vocha muhimu sanaHoja gani 🤣🤣🤣