Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] dogo unatukana dada zako humu
 
Unapika nini dear?
Leo nipo nyumbani, mdogo wangu kaenda kwao. Hapa hata chai sijachemsha maana sijui hata sukari ipo wapi[emoji1787][emoji1787].

Jana usiku nilipika, fikiria nampigia simu kumuuliza chumvi ipo wapi. Mara hivi humu ndani kuna beef masala? Akaishia kunicheka. Nimekuwa mgeni kwenye jiko langu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…