AiseehπKabla sijaenda kupigwa na jua,ngoja nimalizie kuminya ndude hizi.
Maisha ni hayahaya[emoji1787][emoji23][emoji23]View attachment 2369407
Marahabaaa dada yangu mzuri ππ kaka yako nipo nasafisha mabanda ya kuku, hoi hapa
Napiga hapa uji wa alishe na skonzi ππ karibuPiga kazi leo bimkubwa aongeze toka 2000 mpaka aftatu
ππππ Karibu skonzi na uji lishe, mama leo kanikazi hataki niwake sukari kaweka chumvi ila mtaamuUshaamka kusafisha banda my wangu maana stak ukose kua online siku ya reoooooπ
mzabzab kila siku analia humu humuoni ππaibu jamani
hadi nimzoeee
vipi mzima wewe ?
Asante aiseeeeNapiga hapa uji wa alishe na skonzi ππ karibu
πππAsante sana kiongosππππ Karibu skonzi na uji lishe, mama leo kanikazi hataki niwake sukari kaweka chumvi ila mtaamu
πππ Kitu kitraamu, πππ ingine nampelekea dada nyumbaniAsante aiseeee
Kula zqko ushibe uongeze nguvu kwa dada wa kazi
Nitoe baya wapi, mie mtoto wa mama, naishi kwetu ππππ kula bure kulala bureπππAsante sana kiongos
Jimwage zako maana huna baya
Ambae hajao labda umuumbe πππ au pambana na Carrasco putin maana kaachika tayariana wake zake humu
nataka awe hajaoa
Dada anafaidi aiseeee ujitahidi uoe kabisa maana asubuh mkate usiku asaliπππ Kitu kitraamu, πππ ingine nampelekea dada nyumbaniView attachment 2369468
nitabaki single hadi nimpateAmbae hajao labda umuumbe πππ au pambana na Carrasco putin maana kaachika tayari
Jana ukaacha kutuekea vinyimbo vya kulalia au ndo dada alikua ameshikilia usukaniNitoe baya wapi, mie mtoto wa mama, naishi kwetu ππππ kula bure kulala bure
Kuoa wewe mwenyewe si unaona ulivyonipa makavu, sinq hela wala kazi, zaidi ya kulelewa home.. Maana mama siku aki charuka nafukuzwaa nitapeleka wapi toto ya watu ππDada anafaidi aiseeee ujitahidi uoe kabisa maana asubuh mkate usiku asali
Bundle bunlde si unaona hata sasa napumilia machineJana ukaacha kutuekea vinyimbo vya kulalia au ndo dada alikua ameshikilia usukani
πππ Pataziba, kamata hata Wigelekelo yupo singlenitabaki single hadi nimpate
bado hajaaachika anapata tu mahaba mazito
Hahahaa. DahKabla sijaenda kupigwa na jua,ngoja nimalizie kuminya ndude hizi.
Maisha ni hayahaya[emoji1787][emoji23][emoji23]View attachment 2369407
Ndyo matatizo ya kuwa single ππππππKabla sijaenda kupigwa na jua,ngoja nimalizie kuminya ndude hizi.
Maisha ni hayahaya[emoji1787][emoji23][emoji23]View attachment 2369407
Ushindwe ww kijana hatuwezi kuachana ndyo Kwanza penzi kama limezaliwa upya kesho naenda kulala kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ambae hajao labda umuumbe [emoji23][emoji23][emoji23] au pambana na Carrasco putin maana kaachika tayari