Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

👋 Selfikaaa
IMG_20220925_083920.jpg
 
Sipatagi notification mwenzioo
Haya eti huko Chuga Na Moshi shule gani ya seminary nzuri ya wasichana ambayo ada ni nafuu walau na siye wengine twaweza afford?Niko na kabinti ka std 7 hapa ndo natafuta shule akafanye usaili ya girls na isiyo na makeke na mbwembwe za wazazi wa Dar!
 
Aisee sifahamu.. labda Mjep anayesomesha…
 
Huu uzi ni devuldg
Sipatagi notification mwenzioo
Haya eti huko Chuga Na Moshi shule gani ya seminary nzuri ya wasichana ambayo ada ni nafuu walau na siye wengine twaweza afford?Niko na kabinti ka std 7 hapa ndo natafuta shule akafanye usaili ya girls na isiyo na makeke na mbwembwe za wazazi wa Dar!
St. Theresa, Kisongo, Arusha.
 
Nifichwe niringe😂
Sina vocha ndio maana sijaonekana, hapa enyewe nashangaa kujikuta live humu wakati bando sina

Nifanyie namna basi ndugu yangu
Pole sana wakwetu
Pakuweka napajua😆😆😆
 
Sipatagi notification mwenzioo
Haya eti huko Chuga Na Moshi shule gani ya seminary nzuri ya wasichana ambayo ada ni nafuu walau na siye wengine twaweza afford?Niko na kabinti ka std 7 hapa ndo natafuta shule akafanye usaili ya girls na isiyo na makeke na mbwembwe za wazazi wa Dar!
all the best ,umekuza

Anwarite , St. Mary goreth , Kibosho girls zipo moshi. angalia na St.Mary's
Mazinde juu ya Tanga ,
 
Back
Top Bottom