[emoji23][emoji23][emoji23] omba kwanza iwe kweli....Mc usijali ikisha kuwa bila shaka Jf watafanya mpango wa hyo ndoa kuwa live[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] plz naomba niwe MC, usiniache ktk jambo lako.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ma jeans ya mumeo nani atakuwa anamsaidia kufua? Ni kwa sababu ya kucha au kuna sababu zingine? 😳Mimi nafanya kila kitu mkuu [emoji16][emoji16]...ila kufua lazima uumie maybe ufue nguo simple simple ila sio jeans [emoji158][emoji23][emoji23]
Sio kishua sema uwa napenda tu coz naona kama ni urembo hasa kwa mtu anaye penda urembo
[emoji15][emoji15] sema kweli....kuachwa kunavo umiza ivo eeh mungu baba [emoji2969] usiruhusu ilo litokee Mimi Niko deep sana nisha tumbukiza miguu yote miwilii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uliza wenzio, walifanyiwa vitu had wakawa wanachachawaaaa, mambo yakufanyika ulayaa yalifanyika Bongo tena wazi wazi, na bado waliachanaaa,
Mapenzi ni nyokooooooooo, ila sikomiiiiiiiiiii.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nmfua mwenyewe mkuu ndo maan nimetoa kwa ajili yake tu nafanya kila kitu [emoji2960]Ma jeans ya mumeo nani atakuwa anamsaidia kufua? Ni kwa sababu ya kucha au kuna sababu zingine? [emoji15]
Daah kitambo sana mrembotabia mbaya hii ila lazima tuwaonyeshe watu kama wametukosea .
ndo maana nakaaga mbali na watu alooh .
ubaya zaidi i can't fake it , naonyesha kabisa .
Aseeeeh upo km miee, kitu siwezagi unafiki, ku fake, kuishi life la kuwaridhisha watu wa nje,tabia mbaya hii ila lazima tuwaonyeshe watu kama wametukosea .
ndo maana nakaaga mbali na watu alooh .
ubaya zaidi i can't fake it , naonyesha kabisa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na isitokee, sikiliza kwa wengine tyuuh.[emoji15][emoji15] sema kweli....kuachwa kunavo umiza ivo eeh mungu baba [emoji2969] usiruhusu ilo litokee Mimi Niko deep sana nisha tumbukiza miguu yote miwilii[emoji23][emoji23][emoji23]
mpo stage gani ya mahusiano ,tuanzie hapoLenie
Antonnia
Tinsley
Mnipe hints za kudate na kipanga wa class, huyu Engneer wa baadae naona anataka kuyakanyaga vibayaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na alivyo mpoleee, mtaratibu, mkimya, kuna vitu nawazaaa nabaki kuchekaaa,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
hello , habari za siku nyingiDaah kitambo sana mrembo
no time for fake zoneAseeeeh upo km miee, kitu siwezagi unafiki, ku fake, kuishi life la kuwaridhisha watu wa nje,
SIWEZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Aki nimechekaaLenie
Antonnia
Tinsley
Mnipe hints za kudate na kipanga wa class, huyu Engneer wa baadae naona anataka kuyakanyaga vibayaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na alivyo mpoleee, mtaratibu, mkimya, kuna vitu nawazaaa nabaki kuchekaaa,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ntakua buli buli, dea,[emoji23][emoji23][emoji23] omba kwanza iwe kweli....Mc usijali ikisha kuwa bila shaka Jf watafanya mpango wa hyo ndoa kuwa live
Mimi sijui watafanyaje but I wish [emoji2960][emoji2960]
kwanzia mwanzo wa Mahusiano , muombe Mungu for guidance .[emoji15][emoji15] sema kweli....kuachwa kunavo umiza ivo eeh mungu baba [emoji2969] usiruhusu ilo litokee Mimi Niko deep sana nisha tumbukiza miguu yote miwilii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtongozooo wa mwanzooo.mpo stage gani ya mahusiano ,tuanzie hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio mie eti ni yeye dear,Aki nimechekaa
Unajua wewe sio mzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Just be his peace, that's all
Watu wengi hawapendi makasiriko yasiyo na msingi, kuchoshana akili huo muda hamna
Mpe sababu akikufikiria ahisi amani na furaha moyoni, mengine utajiongeza
hapo panakuwaga patamu aiseee , just chill and relax , ndo muda wa kufanya maamuzi .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtongozooo wa mwanzooo.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Joto likianza tena kitandani napaangalia tu kama TV[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimecheka mnoooo
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Unanikera