Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndoa ya kuacha Kila kitu kbla ya kuolewa hii uwa azielewekii kbsaa mkuu...unaweza kuacha Kila kitu alafu ghafla ndoa ikakuponyoka ukabaki unalia tu...

Inshallah na iwe ivo
uliza wenzio, walifanyiwa vitu had wakawa wanachachawaaaa, mambo yakufanyika ulayaa yalifanyika Bongo tena wazi wazi, na bado waliachanaaa,

Mapenzi ni nyokooooooooo, ila sikomiiiiiiiiiii.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…