Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,388
Mziki wao wangeendeleza vilevile tu wangekuwa mbaliSaivi vijana wanaoimba gospel sijui ndio la kisasa wameteka soko
Wakongwe wamebaki wachache sana
Karibu jirani. Weekend inaendeleaje..Jirani nisubiri nakuja
Acha akome kwanza, nimemuomba namba yanez wake hataki😅😅 kwahiyo unataka apagawe pia?
Daaah National Anthem nifanyie connection basi nami nipate bebi wa kucheza nae huu wimboWa kupiga kwenye harusi
Mnacheza taratibu na bebi wako
Mad Max kuna mzabzab kuna anasbo kuna mrangi sema yupi wamrizia hapo hao wote wapo single 😎😎😎Daaah National Anthem nifanyie connection basi nami nipate bebi wa kucheza nae huu wimbo
Iko poa jiraniKaribu jirani. Weekend inaendeleaje..
Hataki sababu ana imani atarudi🤣Acha akome kwanza, nimemuomba namba yanez wake hataki
ukiona concert ya praise and worship naomba uniambie .Kesho huyu kijana smeandaa tamasha ila hata watu hatushtuki kama zamani.
Jamaa alikuwa fundi sana kuimba kile kikongo[emoji119]View attachment 2366469
Hana hela tuu 🤠🤠 kuna sababu ingine sasa ya hawa watu kukumwaga kibedui hivyoooHataki sababu ana imani atarudi🤣
Hivi viumbe vinaweza visiku-cheat ila akawa tayari anamfahamu wa kuku-replace 🤣
Hivi umemuuliza sababu ya kuachwa nini au ufisi wake ?
Ulileta dagaa ila 🥬🥬 ulisahau 🥴🥴😉😉😉 Ivi jana sijaleta mboga kweli
🤣🤣🤣
☺️☺️☺️ Mbona njaaa imenirukiaa alafu umemaliza 😞😞Ulileta dagaa ila 🥬🥬 ulisahau 🥴🥴View attachment 2366479
☺️☺️ Kuna Mzee wa kupambania pia hutojutia yaani au uongo mwanawane mzabzab🤣🤣🤣
Asante kwa msaada wako
Wacha nitafakari☺️☺️ Kuna Mzee wa kupambania pia hutojutia yaani au uongo mwanawane mzabzab
Karibu sana jirani...Iko poa jirani
Njaa nakuja kula hapo
Hotpot inakusubiria...☺️☺️☺️ Mbona njaaa imenirukiaa alafu umemaliza 😞😞
Nipe location [emoji39]Njoo ule dada mzuri [emoji3059]
Dakika 15 tu nakuwa nishakupikia
Asante jirani yanguKaribu sana jirani...
Kipi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]