Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji16][emoji16] linapojuja swala la kambi kwaajili ya maombi pale church kiukweli nikiwekwa orodhani huwa napatwa na excuse kibao [emoji16] Yani sijui kama nitakuja kuweza MTU anafunga siku ya Tatu jicho jekundu kama linatoka mambo ya kumaliza Tatu kavu then

Unaenda kuwekewa drip alafu ukute sukari imeshuka
Sio poa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Funga hadi unapoweza Mkuu
Ukisema ufuate watu aisee utazimia..
Kila mtu Mungu Amempa neema Yake,tunatofautiana.
 
[emoji16][emoji16] da pole maana najua adhabu yake
Salbutamol hazikosi.
Kifua changu hakichelewi kujibu...
Nilivyo sugu,hata blanket huwa sijifuniki.
Najifunika Shuka.

Baada ya kelele za bimkubwa nikatafuta kiblanket Cha kishkaji..
Yale ya manyoya huwa situmii.

Hivi nikienda nitakuta amefua ameniwekea.
 
Yani ukizoea mji mmoja tabu kweli mfano Mimi nishazoea DSM nikienda mkoa tofaut wenye baridi ni fire[emoji91][emoji16]
 
Yani ukizoea mji mmoja tabu kweli mfano Mimi nishazoea DSM nikienda mkoa tofaut wenye baridi ni fire[emoji91][emoji16]
Ila pamoja na yote DSM sijawahi pazoea.

Ule mwezi wa 2 wa 3 nilikuwa nalala chini kwenye tiles..lile joto[emoji119]voyoyozi havifui dafu.
Angalau sasa baridi haijaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…