Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi pia nna alej na vumbi,baridi,harufu Kali ata nisafiri wapi pred, cetrizine huwa hazikosekani nazibeba hata dozen na diclofenac zile ndogo.
Pole Mkuu.
Hii shida mm inaanikera.

Yaani hapa hizo dawa ninazo kama kitambulisho

Sijawahi kuzikosa na hazijawahi kuisha Kwa mpigo.

Sasahivi nataka nipambane na maombi..hii hali imenichosha.
Maombi ni option pekee niliyobakiza.
 
sasa mbeya unaishije na iyo Barid maana nikijaga mbeya huwa usiku lazima nimeze pred moja na cetrizine ndo nilale laa sivyo pua zote zinaziba
 
hahaha tuombe roho mtakatifu atuwezeshe
ukiwa mke wa mchungaji , lazima tu utafunga
Sina mpango wa kuolewa na watumishi

Habari za kufunga wiki kavu halooo

Namshukuru tu Roho Mtakatifu hapa nilipo...Panatosha.
 
sasa mbeya unaishije na iyo Barid maana nikijaga mbeya huwa usiku lazima nimeze pred moja na cetrizine ndo nilale laa sivyo pua zote zinaziba
Pua kuziba ni maisha yangu ya siku zote

Ila Mimi huwa zinaziba Kwa zamu.

Naishi hivyohivyo japo ndio kifua kinajibu kila baada ya muda
.
Now nimepumzika mwaka mzima jiji lao la fukuto la joto.
Narudi zangu tena nikapambane na baridi Mbeya.
 
Kwanza maji na damu vinatumika sana ukifunga.

Na uwe una shughuli zinatotumia Sanaa nguvu halafu eti unaenda tatu kavu!Mbona watakuokota umezima.
Ndio mana huwa wanawekaga makambi Yani mwendo ni kuomba hamna KAZI ngumu Tatu kavu huwezi fungia nyumbani lazima uweke kambi mahali.
 
aisee pole Mimi nilishajijua sehemu zenye baridi zilishanikaaga muda Tu so nikienda nakwenda na dawa zangu.
 
Ndio mana huwa wanawekaga makambi Yani mwendo ni kuomba hamna KAZI ngumu Tatu kavu huwezi fungia nyumbani lazima uweke kambi mahali.
Yah!
Hata kwenye huduma tunazoenda,kunakuwa na mgawanyiko;
Wengine ni special Kwa ajili ya maombi tu power room..hawafanyi kazi nyingine yoyote.
Wengine akina sisi kuzunguka mitaani kuhubiri..kuruka kwenye mapambio huko.

Hata watumishi wanaofunga hizo kavu wana utaratibu wao mzuri wanajiwekea.

Sasa mwenzangu na mm niende tatu kavu,si watakufa nimezimia kwenye kashkash za kupigania mwendokasi pale kivukoni.
 
Kibaya zaidi nna pumu ikicharuka balaa natembea na kidude changu Kile popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…