wewe bebika huko kwa raha zakoKaeni kwa kutulia haswa
thank you πSoon as possible
Thank youSoon as ppossible
Worry out crush. I'm here for u ..I am scared to lose you[emoji846]
Thank u Mamy nimenasa kama ulimboo..[emoji16]hongera , love is a beautiful thing , hebu mshikilie .
Wewe si ulichezea bahati mchumbaMpambe weweπ€£
Woiiiπ₯π₯π₯π₯π₯π₯Nimtu ana masihara mengiiii sana...anaweza akawa anatania ukajua Yuko serious, jinsi alivo in social media sivyo alivo live ukikutana nae..ajabu nikwamba social media Yuko serious sana but ukimuona lazima uwe unatabasamu Kila muda kama sio kucheka[emoji3059][emoji3059]....
Ni mkaka furani ivi mcheshi mnoo ukiwa nae uwezi borekaaa...basi hyo inanifanya niwe nae Kila anapo kua....
Nan anamjua?? Anaye mjua amtaje [emoji7][emoji8]
Ona sasa unaiwekea mtego niachwe πWewe si ulichezea bahati mchumba
enjoy hapo hapoThank u Mamy nimenasa kama ulimboo..[emoji16]
Kwendraaaa πNiko hapa nimetulia tuliii nakula karanga tuu nawacheck wala hawezi kunitaja baby wangu qeen jojo
Uachwe mara ngapi mchumbaOna sasa unaiwekea mtego niachwe π
Sasa hivi siachwi kizembeπUachwe mara ngapi mchumba
ππππππππππ€£Kwendraaaa π
Utege wa mdogo wangu uleeeeeπ
Basi nitakuja tena[emoji16][emoji16]wee hukaribishwi waja tuu
Asante Coca.Mrembooooooo, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Skintyt nimeielewaaaa,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ka mguu unako