reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,461
- 29,376
[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16]watajua wao...mwendo wangu nimeumaliza kwao!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji38]Shemeji bana...
Nimekaona ka Koku.
Na mama yake...
Kamalaika. Karembo. Kapendeka. Kabarikiwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wasukuma huko waliko wakisikia hizi habari sipati picha watakavyoumia [emoji16][emoji16][emoji16]
Afu Shimba ngoja niulize,Mimi bwana sio mweupe Sana ni normal tu ila sasa Sasa wanangu wana rangi wote!hii inatokana na Nini?