reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,461
- 29,376
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]mfyuuu shule kwiooNafanya utafiti niko shule madam[emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]mfyuuu shule kwiooNafanya utafiti niko shule madam[emoji3][emoji3]
Hutaki sasa😀😀😀[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]mfyuuu shule kwioo
Hahahaha! ahsante hii haikua na ushindani kabisaa!yangu mwenyewe hii!chaaap
Karembo kama mama yake😍😍
Hongera Sana,soma bwana maisha haya acha Kabisaa!ongeza elimuHutaki sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
Mwenzio niko shule
shauri yako
Hongera sanaHahahaha! ahsante hii haikua na ushindani kabisaa!yangu mwenyewe hii!chaaap
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ahsante Sana broo!!Karembo kama mama yake[emoji7][emoji7]
Hongera sana
Amin🙏🙏Hongera Sana,soma bwana maisha haya acha Kabisaa!ongeza elimu
Yaani mmeshangaa au ndo wikienda zinaanza leo!!mweehhHongera sana
Wamelala woote
Wamechoka na pilika pilika za kutwa nzima na shida za tozoYaani mmeshangaa au ndo wikienda zinaanza leo!!mweehh
Yaani na nilivo mzembee miye [emoji16][emoji16]dkk usingiz yaani sijiwezi balaa!Wamechoka na pilika pilika za kutwa nzima na shida za tozo
Wewe mwenyewe isingekua night shift ungekua unaota huko[emoji3][emoji3]
Hilo box limeharibu madam
Wee..Nani kasema?!![emoji38][emoji1][emoji38][emoji1]people wanawatch balaa yaani mmegundua kumbe watu wanafatilia Sana huu Uzi ujue![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3526] na picha wanasevu piaHilo box limeharibu madam
Liondoe tu hapa tuko wawili tu
Wacha bana 😀😀😀 watu wanapita kimya kimya? Hata usiku wa manane?🙌Wee..Nani kasema?!![emoji38][emoji1][emoji38][emoji1]people wanawatch balaa yaani mmegundua kumbe watu wanafatilia Sana huu Uzi ujue![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3526] na picha wanasevu pia
Kumbe upo chiefUmenenepa
Box kubwa mno
Asante mkuuKumbe upo chief
Karibu uselfike
Enheee za masiku !!umeibuka from where?!umepotea mnooo![emoji38][emoji1]Umenenepa
Box kubwa mno
Shemeji bana...Wee..Nani kasema?!![emoji38][emoji1][emoji38][emoji1]people wanawatch balaa yaani mmegundua kumbe watu wanafatilia Sana huu Uzi ujue![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3526] na picha wanasevu pia