Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Muache ashangae akute watu washanibeba
Yan michembe ni noma ukila unashau Kwa muda kma utakula tena sema mm napenda na maziwa fresh hapo kwenye tako ndo penyew mpwa ngoja nikazane kula πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hali sio nzuri
Hatari sana. Hata hapa kama naona majamaa akina Putin yanahangaika hangaika. Akijichelewesha akakukosa mi nam-disown kabisa!

Kuhusu hiyo ishu nyingine wala sina wasiwasi na wewe. Lazima tu unalo. Hili nina uhakika nalo! 😁😁
 
Yani sijui tuseme nini aisee

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Hatari sana. Hata hapa kama naona majamaa akina Putin yanahangaika hangaika. Akijichelewesha akakukosa mi nam-disown kabisa!

Kuhusu hiyo ishu nyingine wala sina wasiwasi na wewe. Lazima tu unalo. Hili nina uhakika nalo!
Wewe tulia apoapo nimesharisishwa tayari

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Hatari sana. Hata hapa kama naona majamaa akina Putin yanahangaika hangaika. Akijichelewesha akakukosa mi nam-disown kabisa!

Kuhusu hiyo ishu nyingine wala sina wasiwasi na wewe. Lazima tu unalo. Hili nina uhakika nalo! 😁😁
Hamna kitu mpwa mpwa wako anivumilie tu carrasco Hana mpya yule mpwa πŸ˜‚
 
Hahaha..babe girl
Hongera sana shemeji. Hatimaye Mulangira naye kajitutumua dah! Ila sijui tukape na jina la Kisukuma ili kifanane na nduguze? Sasa Kokushubirwa mh!

Mungu Akabariki hako kamalaika na kukaongoza daima. Na nyie wazazi mkawe na hekima ya kukalea na kukaongoza katika mapenzi ya Mungu πŸ™πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…